Posted on: September 19th, 2020
Rais Ndayishimiye yuko Tanzania kwa ziara rasmi ya siku moja kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli.
Bwana Ndayishimiye aliwasili katika uwanja wa Lake Tanganyika Mkoa...
Posted on: May 20th, 2020
Serikali Mkoani Kigoma imegawa misaada wa vitu,chakula na vifaa kwa Kaya 318 zenye jumla ya Watu 1624 zilizoathirika na mafuriko Wilayani Uvinza.
Vifaa hivyo vimetolewa na Serikali ya Mkoa kwa kush...
Posted on: May 20th, 2020
UNHCR yaunga mkono Mapambano dhidi ya COVID19 Mkoani Kigoma.
Katika michango yake Shirika la kuhudumia wakimbizi Duniani limetoa vifaa mbalimbali Mkoani Kigoma vyenye thamani ya shilingi 26 milioni...