Posted on: October 28th, 2017
Michezo ya mchuanoa ya ujirani mwema ya Ligi ya Lake Tanganyika Cup imemalizika kwa timu ya Mwamgongo ya Mkoani Kigoma kufungwa na timu ya black eagle kutoka Burundi 1-0.
Mbali na kuweka kizingiti ...
Posted on: October 27th, 2017
Kiamakikubwa kwa, wavuvi harama na waingizaji wa zana za uvuvi harama inakuja, Mhe. Waziri Luhaga Mpina ameyasema haya wakati wa Ziara yake ya kikazi Mkoani Kigoma mara baada ya kupokea taarifa ya...
Posted on: October 27th, 2017
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetangaza kufanya operesheni kabambe ya siku 15 ya kuondoa mifugo yote inayotoka nchi za jirani katika mikoa 12 iliyopo mipakani hapa nchini.
Akizungumza katika Ofisi ya ...