Posted on: April 19th, 2017
Serikali Mkoani Kigoma imewataka vijana na akinamama wakulima kujiunga katika vikundi ili waweze kukidhi vigezo vya kupata mikopo ambayo hutolewa na Halmashauri kupitia makusanyo ya ndani, ambapo kila...
Posted on: April 18th, 2017
#1.Kuimarisha ulinzi na usalama kwa wananchi-maeneo mengi wananchi wanalalamikia tishio la usalama kwa sababu ya uwepo wa wakimbizi wegi katika kambi za Nduta na Mtendeli
#2. Wananchi na M...
Posted on: April 11th, 2017
Matumizi ya Simbomilia (Barcodes) au alama za utambuzi wa bidhaa katika masoko ni jambo lisilokwepeka kwa sasa ambapo Tanzania inaelelekea kweye nchi ya uchumi wa kati na viwada. Haya yameelezwa na Mk...