Posted on: April 26th, 2018
Vashiria vya ugonjwa wa Malaria nchini Tanzania vimepungua kwa watoto chini ya miaka mitano kutoka14.4 % mwaka 2015 na kufikia 7.3% kwa Mwaka 2017 hii ni kufuatia harakati zinazofanywa na Serikali ya ...
Posted on: April 27th, 2018
Jumla ya Dola za Kimarekani 55 milioni zinatarajiwa kutumiwa katika miradi mbalimbali mtambuka katika Mpago wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kwa Mkoa wa Kigoma.
Hadi sasa Shiling 15 milioni zimekwisha...
Posted on: April 16th, 2018
Mwenge wa Uhuru 2018, umepokelewa katika Mkoa wa Kigoma. Utakimbizwa katika Halmashauri 8 utatembelea jumla ya Miradi 50 yenye thamani ya takribani TZS. bilioni 12.97. Kati ya miradi hiyo, miradi 24 i...