Posted on: December 19th, 2020
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa KIGOMA inapenda kuwajulisha wazazi ambao watoto wao wamechaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2021 kuwa, watoto hao wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangiwa ifikapo...
Posted on: September 25th, 2020
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashid Mchatta amewataka Watendaji na Maafisa wa Serikali katika wilaya za Kibondo, Kakonko, Kasulu na Buhigwe kuharakisha utekelezaji wa miradi mbalimbali na kuhakikis...
Posted on: September 19th, 2020
Rais Ndayishimiye yuko Tanzania kwa ziara rasmi ya siku moja kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli.
Bwana Ndayishimiye aliwasili katika uwanja wa Lake Tanganyika Mkoa...