Posted on: April 18th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Gen. (Mst.) Emmanuel Maganga leo amkutana na Bw. Vincent Rico Mkuu wa Mradi wa Madaktari wasio na Mipaka na kuzungumzia namna ya kuendelea kuboresha huduma za Afya Mkoani ...
Posted on: April 16th, 2019
Mwenge wa Uhuru 2019, umepokelewa katika Mkoa wa Kigoma ambapo unatarajiwa kukimbizwa takribani kilomita 919 na kutembelea jumla ya Miradi 54 yenye thamani ya shilingi bilioni 10.6.
Aidha,...
Posted on: April 15th, 2019
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana wadau balimbali imeandaa 'Kongamano la Kwanza la Kimataifa la Kibiashara' maarufu kama 'Tanganyika Business Summit & Festival. Kongamano hili la kw...