Posted on: April 16th, 2018
Mwenge wa Uhuru 2018, umepokelewa katika Mkoa wa Kigoma. Utakimbizwa katika Halmashauri 8 utatembelea jumla ya Miradi 50 yenye thamani ya takribani TZS. bilioni 12.97. Kati ya miradi hiyo, miradi 24 i...
Posted on: April 9th, 2018
Mkoa wa Kigoma utaendelea kushirikiana na nchi ya Demokrasia ya Kongo DRC kibiashara, uwekezaji ili kuwezesha wananchi wake kufikia malengo ya kuwa na uchumi wa kati, na kuhamasisha biashara ...
Posted on: April 15th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jen.(mst) Emannuel Maganga amemtaka Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Umeme REA III katika Wilaya za Kibondo na Kakonko kuongeza kasi ili wananchi wapate umeme.
Maga...