Jumla ya nguo 1947 zinazofanana na sare za kijeshi zimekamatwa na kuteketezwa moto. Nguo hizo zilikamtwa katika Kambi ya Wakimbizi iliyopo Wailayani Kibondo Mkoani Kigoma. Tayari watu kadhaa wanashikiliwa kuhusiana na uingizwaji wa Nguo hizo akiwemo Mkuu wa Shirika la Danish Refugees Council Mkoani Kigoma. Aidha uchunguzi unaendelea kubaini malengo ya uingizwaji wa nguo hizo katika maeneo ya kambibza wakimbizi.Aidha, nguo hizo zinafanana na sare za majeshi ya nchi mbalimbali.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa