Wananchi Wote Mnatangzaziwa kuwa kutakuwa na Madaktari Bigwa Katika Hospitali ka Mkoa ya Rufaa Maweni Kuanzia Tarehe 12 mpaka -16 mwezi Novemba 2017. Madaktari hao Watatoa Huduma za Magonjwa ya Moyo, Watoto, Upasuaji, Magonjwa ya Njia ya Mkojo na Mengine Mengi. Wananchi Wenye Mahitaji Mnakaribishwa.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255738192977
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa