Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma inapenda kuwakumbusha Wananchi pamoja na Watumishi wote kuwa, Kila Jumamosi ya pili ya Mwezi Mazoezi ya Vioungo yatakuwa yanafanyika Katika Uwanja wa Michezo wa Lake Tangayika kuanzia saa 12:00 alfajiri hadi 2:00 asubuhi.