Posted on: October 24th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekabidhi magari manne yaliyotolewa na Serikali kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma huku akitoa wito kwa wananchi kutoa taarifa kwa wakati ...
Posted on: October 16th, 2025
Ujenzi wa Mitaro ya Maji katika Manispaa ya Kigoma Ujiji umetajwa kunusuru Nyumba 384 zilizokuwa hatarini kuathiriwa na maji kutokana na kupakana na Makorongo au maeneo yanayopitisha maji ...
Posted on: September 24th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi wa Mkandarasi mjenzi wa Reli ya kisasa ya SGR kipande cha Uvinza-Msongati Burundi, Yu Chao (wapili kushoto) Kat...