UNHCR yaunga mkono Mapambano dhidi ya COVID19 Mkoani Kigoma.
Katika michango yake Shirika la kuhudumia wakimbizi Duniani limetoa vifaa mbalimbali Mkoani Kigoma vyenye thamani ya shilingi 26 milioni kama sehemu ya kuunga juhudi za kupambana na ugonjwa wa Corona.
Akipokea vifaa hivyo kutoka wadau mbalimbali Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Gen. Emmanuel Maganga amewashukuru wadau hao na kuwasisitiza wananchi kuendelea kuchukua tahadhari kama walivyoelekezaa na Wizara ya Afya.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa