• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

NZUNDA AWATAKA MAAFISA ELIMU KUTENDA HAKI KWA WALIMU

Posted on: November 26th, 2017


Watendaji wa Sekta  ya elimu Mkoani Kigoma, wametakiwa kutokuwa kisababishi cha kwanza kuwavunja moyo wafanyakazi walimu kwa namna yeyote bali wasaidine nao katika kuleta kuboresha na kuleta matunda bora kwenye sekta ya elimu.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ambaye anashugulikia Elimu Tixon Nzunda ameyasema hayo wakati wa ziara yake Mkoani Kigoma ambayo ililenga kukagua miradi mbalimbali ya elimu ikiwemo ukarabati wa shule kongwe pamoja na vyuo vya ualimu, kukagua miradi elimu inayofadhiliwa na wahisani mbalimbali namna inavyotekelezwa Mkoani Kigoma.

Akiongea na wakurugenzi, maafisa elimu , waratibu wa elimu na walimu wakuu Nzunda aliwaambia kumekuwa na tabia ya watendaji kuwadhulumu walimu haki zao ikiwemo fedha za likizo, fedha za masomo kwa waliokatika mpango kadri ya mahitaji ya halmashauri, jambo ambalo limekuwa likiwakatisha taamaa na kuwavunja moyo waalimu.

“Mwalimu anakuja kwako wewe kama kiongozi wake na anashida za msingi kabisa lakini kutokana na sababu zako tu unamkwamisha, tusiwe vikwazo kuwakatisha tama walimu kwa kuwaonea kwenye haki zao bali tufungue milango kuwasikiliza na kuwapa ushauri Afisa elimu wa Halmashauri, kata na Mkuu wa Shule asiyejali waalomu wake huyu hafai kabisa kuwa kiongozi” aliongeza Nzunda.

Nzuda amweataka watendaji kufanya kazi kwa uwajibikaji, uadilifu na weledi pamoja na kuwa wasikivu kwa kushughulikia matatizo ya umma.

Aidha suala la usimamizi thabiti wa miradi amesema lisiwe kwa sekta ya elimu peke yake bali miradi yote isimamiwe kikamilifu ili kuleta tija na maendeleo kwa wananchi.

Katika kukagua miradi ya ukarabati wa shule ya sekondari ya Kigoma Ndunda ameonesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa wakala wa majengo Tanzania ambao unasuasua pamoja na kupewa fedha yote ya ukarabati wa miundombinu ya shule hiyo.


Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • PICHA; MAENDELEO YA UJENZI WA UKUMBI WA DKT. PHILIP MPANGO KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA KIGOMA

    April 30, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa