• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

Zaidi ya silaha haramu 5600 Zateketezwa Moto

Posted on: March 11th, 2017

Zaidi ya silaha haramu 5600 zimeteketezwa moto Mkoani Kigoma ikiwa ni moja ya hatua za Serikali katika kupambana na uzagaaji wa silaha haramu nchini. Akiongoza zoezi la uteketezaji wa silaha hizo Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Ndani ya Nchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba alisema “tatizo la uzagaaji wa silaha ni la kidunia, kwa kiwango kikubwa uzagaaji wa silaha hovyo umeathiri maendeleo kiuchumi, kisiasa na Kijamii” Aidha ameongeza kuwa tangu Januari 2017, amefuta ukimbizi wa Makundi kama ilivyokuwa awali na utaratibu utakuwa kila Mkimbizi ataingia nchini baada ya kuhojiwa na kujadiliwa na Kamati husika. Alitoa rai kwa Watazania wote wanaomiliki Silaha kinyume na taratibu za nchi kuzisajili au kuzisalimisa silaha hizo, na mwisho wa zoezi hilo itakuwa tarehe 30 Juni, 2017, baada ya hapo hatua kali za watakaobainika zitachukuliwa. Silaha zilizoteketezwa zilikamatwa kutoka katika Mikoa ya Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi, Rukwa, Kagera na Kigoma. Hata hivyo Mkoa wa Kigoma umetajwa kuongoza kwa uzagaaji wa Silaha haramu kwa asilimia zaidi ya 40% na matukio yanayohusisha silaha kwa 20 % ukiligaishwa na Mikoa Mingine. Akizungumza katika zoezi la Uteketezaji wa Silaha hizo Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo Nsato Marijani Msanzya alisema Mkoa wa Kigoma unaogoza kutokana na kupakana na nchi zenye machafuko ya Kisiasa, kupokea wakimbizi wengi ambao huingia kwa makundi bila kupekuliwa, baadhi yawakimbizi wasio waaminifu hutumia mwanya wa ukimbizi vibaya kwa kufanya matendo mengi ya kihalifu. Hadi sasa wakimbizi waliopo Mkoani Kigoma ni zaidi ya 27,000 ambao ni chimbuko la uzagaaji wa silaha haramu Mkoani Kigoma. Imeelezwa kuwa katika Mkoa wa Kigoma kwa siku hupokea wakimbizi 400 hadi 500 wakitokea Nchi jirani za Burundi na Congo. Hata hivyo taarifa zinasema wengi wao sasa hawakimbi kwa hofu ya machafuko ya kisiasa bali wanakimbia njaa na ugumu wa maisha nchini mwao. Naye Naibu Kamishna wa Polisi Sekretarieti ya Umoja wa Kikanda wa Kushughuliikia uzagaaji wa silaha Bw. Theonest Mshindashaka alisema Jumla ya Silaha zilizokwisha kuteketezwa kati ya 2014 hadi 2017 ni zaidi ya 17,000. Uteketezaji wa silaha haramu umefadhiliwa na Serikali ya Marekani Kitengo cha Kupambana na Uzagaaji wa Silaha.

Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • RC ANDENGENYE AKABIDHI VITENGO VITENGO VYA LISHE MKOA NA WILAYA UVINZA

    May 09, 2025
  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa