Wajumbe kutoka Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa wamewasili mkoani hapa na kufanya mazungumzo mafupi na mwenyeji wao, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye leo Mei 27,2024. Ujumbe huo umewasili kwa ajili ya Maandalizi ya zoezi la Uzinduzi wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ambalo kitaifa linatarajiwa kufanyika mkoani hapa.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa