Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amefungua kikao kinachowakutanisha wawakilishi kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Burundi kwa ajili ya kujadili maandalizi ya utekelezaji wa zoezi la urejeaji wa wakimbizi wa Burundi waliopo nchini.
KATIBU TAWALA MKOA WA KIGOMA MHE. HASSAN RUGWA AKIZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KIKAO HICHO(HAWAPO PICHANI) WAKATI WA UFUNGUZI WA UFUNGUZI WA MKUTANO ULIOZIKUTANISHA NCHI MBILI ZA TANZANIA NA BURUNDI KWA AJILI YA KUJADILI SUALA LA UREJEAJI WA WAKIMBIZI HAO NCHINI BURUNDI.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa