• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

RC SIRRO AZINDUA ZOEZI LA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KIMKOA

Posted on: July 3rd, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma IGP(Rtd) Simon Sirro akizindua rasmi zaoezi la Chanjo kwa ajili ya wanyama pamoja na utambuzi wa mifugo kimkoa wilayani Uvinza.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi Mhe. Balozi Simon Siro amewawataka wafugaji Mkoani Kigoma kushiriki zoezi la chanjo ya mifugo ili kuimarisha ubora na Thamani za mazao ya mifugo katika soko na kuongeza uchumi wa wafugaji mkoani humo.

Sirro ametoa wito huo alipozindua rasmi zoezi la chanjo na utambuzi wa mifugo kimkoa lililofanyika wilayani Uvinza mkoani humo ambapo kwa kuanza jumla ya ng'ombe 800 na kuku 100 wamepatiwa  chanjo.

Amesema matarajio ni kuchanja jumla ya ng'ombe 340,300 pamoja na Kuku 1,780,000 ambapo zoezi hilo litafanyika kwa siku 21 tangu kuzinduliwa kwake Siku ya Leo Julai 3, 2025.

Amesema changamoto kubwa inayosababisha wafugaji kupunguza thamani ya Soko la Nyama kimataifa ni pamoja na majeraha kwenye ngozi za wanyama kutokana na kupigwa pamoja na uwepo wa magonjwa yanayoathiri ubora wa nyama.

Amesema mchango wa Sekta ya mifugo kwa mkoa wa Kigoma hufikia chini ya Asilimia nne ambapo hali hiyo huchangiwa na uwepo wa magonjwa ya wanyama yanayosababisha hasara kubwa kwa wafugaji.

Sirro ameendelea kusisitiza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita kwa mwaka wa Fedha 2024/2025 ilitenga kiasi cha Shilingi Bil. 28.1 kwa ajili ya kuanza kukabiliana na magonjwa  ya homa ya ng'ombe, Sotoka ya mbuzi na Kondoo pamoja na magonjwa matatu ya kuku ambayo ni Kideri, ndui na mafua ya Kuku.

Mkuu huyo wa Mkoa amesisitiza kuwa faida ya chanjo hizo ni pamoja na kusaidia kudhibiti magonjwa ya mlipuko kwa watu na wanyama, kuongeza uzalishaji wa mifugo, na kuongeza mapato ya Serikali kupitia Sekta hiyo.

Aidha, Mhe. Sirro ametoa wito kwa wakazi kujitokeza kwa wingi ili kuchanja mifugo yao kwani kufanya hivyo kutachangia kwa kiasi kikubwa kutokomeza magonjwa ya mifugo katika mkoa na nchi kwa ujumla.

Kupitia zoezi hilo Serikali itachangia Shilingi 500 na mfugaji Shilingi 500 kwa ajili ya chanjo ya ng'ombe, Shilingi 300 kwa chanjo ya Kondoo na Mbuzi huku chanjo hiyo ikitolewa bure kwa wafugaji wa kuku.


Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • RC SIRRO AZINDUA ZOEZI LA CHANJO NA UTAMBUZI WA MIFUGO KIMKOA

    July 03, 2025
  • JESHI LA UHAMIAJI KIGOMA LAPONGEZWA KATIKA KUKABILIANA NA WAHAMIAJI HARAMU

    June 23, 2025
  • MRADI WA BARABARA MWANDIGA KAGUNGA AWAMU YA KWANZA WAFIKIA 95%

    June 21, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA SAMIA WAANZA KAMBI YA MATIBABU KIGOMA

    June 16, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa