Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye ameongoza Kikao cha kisheria cha Bodi ya Kampuni ya Kigoma Special Economic Zone (KiSEZ) Leo Septemba 7, 2023 kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Albert Msovela, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Rose Manumba, Mkurugenzi wa Manispaa ya Mji Kigoma/Ujiji pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni hiyo Deogratias Sangu.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa