Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaJob Ndugai amewasili Mkoani Kigoma kuungana na wakazi wa mkoa huo kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Buyung wilayani kakonko Kasuku Samson Bilago.
Alipowasili katika uwanja wa ndege Wilayani Kibondo. Ndugai amepokelewa na Mkuu wa waMkoa wa Kigom brigedia jenerali mstaafu Emmanuel Maganga, Mkuu wa Wilaya ya Kakoko. Kanali Hosea Ndagala pamojana viongozi mbalimbali wa seerikali na vyama siasa.
Akiwa Wilayani Kakonko. Spika wa bunge Ndugai anatarajia kuongoza waombolewzaji kuaga mwili wa Mbunge huyo katika viwanja vya Mwenge wilayani humo
Mapema hapo jana mwili wa Marehemi Bilago uliwasil na kupokelewa na viongozibalimbali wakiwemo Wabunge, mawaziri, Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa na wananchi.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa