Naibu Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Longido Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amewasili mkoani Kigoma kwa Lengo la kufanya Ziara ya Kikazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza ambapo mchana wa Leo Februari 17, 2023 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye ofisini kwake kwa lengo la kumsalimia na kufanya Mazungumzo mafupi.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa