Mwenge wa Uhuru 2018, umepokelewa katika Mkoa wa Kigoma. Utakimbizwa katika Halmashauri 8 utatembelea jumla ya Miradi 50 yenye thamani ya takribani TZS. bilioni 12.97. Kati ya miradi hiyo, miradi 24 itazinduliwa; miradi 11 itafunguliwa; miradi 11 itawekewa mawe ya msingi; na miradi 2 itakaguliwa. Miradi 2 itakuwa ya uwezesho wa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. Suku ya Tarehe 24/04/2018 utakabidhiwa Mkoani Tabora.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa