Mkuu wa Mikoa wa Kigoma Brig. Ge. Emmanuel Maganga amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Kimaendeleo la Uoingereza Bi Berthy Arthy.
katika mazungumzo yake na Bi. Berthy, Mkuu wa Mkoa ameeleza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya Uingereza katika kuhakikisha Mkoa wa kigoma unapaa kiuchumoi,
Nafurahi kusema kwamba sasa Mkoa wa Kigoma tumeanza kupanda kiuchumi na hii ni kutokana na juhudi mbalimbali za serikali ya awamu ya tano pamoja na ushirikiano mzuri tunaopata kutoa serikali ya Uingereza kupitia shirika la Maendeleo
Aidha kwa upande wake Bi. Berthy ameupongeza uongozi wa Mkoa wa Kigoma na ameeleza kuwa Seriklai ya Uingereza inafurahia kushirikiana na Seraikali ya Mkoa wa Kigoma katika kusaidia shughulimbalimbali za maendeleao ikiwemo Elimu, Maji, Afya. Bi. Berthy ameambatana na Bw. Matthew Waytta Mkuu wa kitendo cha Haki za Binadamu na masuala ya Ulinzi na Usalama, Bw.alastair Burnett Mshauri wa masuala ya haki za Binadamu ambapo pamoja na kufanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa Mkoani Kigoma walipata fursa ya kutembelea kamnbi za wakimbizi zilizopo Mkoani Kigoam
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa