Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Brig. Gen (Rtd) Emmanuel Maganga [kulia] na Mhasibu Mkuu wa Sekretarieti ya Mkoa wa Kigoma, CPA J. Gamba, katika hafla ya kupokea Tuzo ya Taarifa ya Fedha Iliyowasilishwa vizuri, Mkoa wa KIGOMA umeshika Nafasi ya kwanza kwa mara ya pili ambapo mwaka Jana Mkoa pia uliomgoza kwa Nafasi ya kwanza. Tuzo hiyo imetolewa na NBAA siku ya Jumamosi 7 Desemba 2019 Jijini Dar es Salaam.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa