Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili katika Uwanja wa Ndege wa wa Mkoa wa Kigoma kisha kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye leo Septemba 20, 2023.
Akiwa Mkoani hapa, Waziri Mkuu ameongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma.
Aidha kesho Septemba 21, 2023 atatembelea wilaya ya Uvinza kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya wilaya hiyo kisha kuzungumza wananchi
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa