• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

MAHAKAMA ZETU ZINAIMARIKA DKT. NDUMBARO

Posted on: January 25th, 2025

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt.  Damas Ndumbaro amesema maboresho yaliyofanywa na serikali katika utendaji kazi wa Mahakama nchini umechangia kupunguza mrundikano wa kesi  katika mahakama na kupunguza idadi ya Mahabusu katika Magereza yaliyopo mikoa yote nchini.


Waziri Ndumbaro ametoa kauli hiyo aliposhiriki Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku na Wiki ya Sheria kwa Mkoa wa Kigoma na kusisitiza kuwa kabla ya maboresho hayo katika magereza mengi  idadi ya mahabusu ilikuwa ni kubwa kuliko wale wanaotumikia adhabu za vifungo.


Aidha Waziri Dkt. Ndumbaro amewataka wananchi mkoani humo kuendelea kujitokeza ili kunufaika na huduma za kisheria zinazotolewa bure kupitia Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia aliyoizindua Januari 24, 2025 mkoani Kigoma.

Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amesema kabla ya kujengwa kwa Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma wakazi mkoani humo walilazimika kusafiri kati ya Km. 400 hadi 700 kufuata huduma hiyo mkoani Tabora, hali iliyochangia kupoteza fedha na muda.

Kupitia hotuba aliyoitoa kwenye uzinduzi wa Maadhimisho hayo, Andengenye amesema kufanyika kwa maboresho na usogezwaji wa huduma za kimahakama kunachangia kwa kiasi kikubwa wananchi kujikita katika kufanya shughuli za maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kufuatilia mashauri yao mahakamani.

Aidha amepongeza ongezeko la matumizi ya TEHAMA katika kupokea, kusajili, kusikiliza na kutoa Hukumu kwa njia ya Mtandao jambo linalochangia  mashauri kumalizika kwa haraka na kuruhusu wananchi kuendelea na Shughuli za uzalishaji Mali.

Mkuu huyo wa mkoa ametoa wito kwa watendaji hao wa mahaka kudumisha weledi na uadilifu ili kujenga imani kwa wateja wao na kuondoa malalamiko yasiyo ya lazima dhidi ya utendaji kazi wa kimahakama.


Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • RC ANDENGENYE AKABIDHI VITENGO VITENGO VYA LISHE MKOA NA WILAYA UVINZA

    May 09, 2025
  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa