• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania RC awataka Wananchi kushiriki katika Maendeleo

Posted on: November 15th, 2021

KATIKA kuadhimisha Miaka 60 ya UHURU wa Taifa la Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye anafanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kushiriki katika ujenzi wa madarasa na miundombinu mbalimbali kama sehemu ya kuwahamasisha wananchi kuendelea kushiriki katika shughuli za maendeleo na kuendeleza maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania tangu ipate Uhuru.

Andengenye amewasisitiza wananchi wa kijiji cha Kagondo kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita ambazo ni mwendelezo wa maono ya viongozi wa asasi wa Taifa la Tanzania.

Amewakumbusha kuwa Taifa la Tanzania limejengwa kwa misingi ya umoja mshikamano na amani, hivyo tunapoelekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanzania kuna mengi yamefanyika ambayo twapaswa kumshukuru Mungu kwa tulipofikia.

Alisema hakuna anayeweza kubisha kwa kutumia historia na ya kushuhudia tangu uhuru Tanzania imeendelea sana katika nyanja na sekta zote zinazomgusa binadamu.

"Tunajivunia maendeleo ya elimu,Afya,miundombinu ya usafiri na usafirishaji pamoja na huduma nyingine za kijamii,kwani sote ni mashahidi tunaona namna viongozi wetu wakuu wa nchi wanavyoendelea kudumisha na kuziishi ndoto za waasisi wa Taifa hili kwa kudumisha amani na mshikamano"alisema Andengenye

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali Izack Mwakisu amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuchangia miradi mbalimbali ili maendeo yaweze kupatikana kwa wakati.

"Serikali yetu ya awamu ya sita inafanya jitihada kubwa sana kuleta maendeleo kwa wananchi wake hivyo hatuna budi kuiunga mkono na sisi kwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo"alisema Kanali Mwakisu

Katia ziara yake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ametembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali na Wadau wa Maendeleo katika Mkoa wa Kigoma.

Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • PICHA; MAENDELEO YA UJENZI WA UKUMBI WA DKT. PHILIP MPANGO KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA KIGOMA

    April 30, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa