Serikali Mkoani Kigoma imegawa misaada wa vitu,chakula na vifaa kwa Kaya 318 zenye jumla ya Watu 1624 zilizoathirika na mafuriko Wilayani Uvinza.
Vifaa hivyo vimetolewa na Serikali ya Mkoa kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali zikiwemo Taasisi na watu binafsi.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa