• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

HUDUMA YA MAJI SAFI KUENDELEA KUIMARIKA MKOANI KIGOMA

Posted on: July 24th, 2023



Hadi kufikia Oktoba 2022 Jumla ya vijiji 215 kati ya 306 ikiwa ni  sawa na Asilimia 70.3 vimefikiwa na Huduma ya Maji Safi ya Bomba mkoani hapa.

Jumla ya Miradi ya Maji 67 yenye Thamani ya Shilingi 54,227,590,254.00 inaendelea kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini(RUWASA) na Wadau wengine wa Maendeleo katika Sekta ya Maji Kigoma.

Kupitia miradi inayotekelezwa na RUWASA, Huduma ya Maji kwa njia ya Bomba imefanikiwa kuwafikia wakazi wapatao 1,468,001 sawa na Asilimia 67.

Vijiji 80 vilivyopo ndani ya Mkoa havijafikiwa na huduma hiyo muhimu ambapo kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wakala huyo inatarajia kusogeza huduma ya Maji kwa njia ya Bomba katika vijiji 49 ambapo kukamilika kwa miradi hiyo kutasababisha mkoa kubakiwa na vijiji 31 vyenye uhitaji.

Miradi ya Kakonko, Kasunga, Kiziguzigu, Nyakayenzi, Asante Nyerere, Shunga, Muganza, Kumshwabure, Kitahana, Bitare, Twabangondozi, Kirungu, Muyanga, Kalege, Katundu, Nyankoronko, Msambara na Marolegwa inaendelea kuhudumia wananchi wapatao 135,514.

Miradi ya Munanila-Nyakimue, Mwayaya, Kanyonza, Kiga, Kigembe, Kigondo, Mudyanda, Pamila, Mlela, Nyakwi na Sunuka inaendelea na ukarabati huku ikitoa Huduma kwa Wananchi.

Pamoja na Mafanikio tajwa, uwepo wa changamoto za uharibifu wa Mazingira unaoathiri vyanzo vya Maji, kutotosheleza kwa Ikama na changamoto ya malipo ya Ankara za Maji kumechangia kuzorotesha ufanisi wa kiutendaji wa RUWASA Mkoa.

Aidha changamoto nyingine imebainika kuwa  ni ukosefu wa wataalamu wenye sifa  hususani kwenye  vyombo vya watoa huduma ya Maji ngazi ya Jamii


Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • RC ANDENGENYE AKABIDHI VITENGO VITENGO VYA LISHE MKOA NA WILAYA UVINZA

    May 09, 2025
  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa