• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

HOSPITALI YA SHUNGA MISHENI YAPANDISHWA HADHI NA KUFUNGULIWA RASMI

Posted on: September 27th, 2024

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amekagua na kuzindua ukarabati wa Miundombinu kisha kufungua Hospitali ya Shunga Misheni iliyopandishwa hadhi kuwa hospitali katika halmashauri ya Wikaya Kasulu mkoani Kigoma Leo Septemba 26, 2024.

Akizungumza mara baada ya kufungua  Hospitali hiyo, akimwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mhe. Dkt. Dugange amesema serikali inathamini kwa kiasi kikubwa ushiriki wa taasisi binafsi katika kutoa huduma za Afya hivyo ofisi yake itaendelea kuziunga mkono taasisi hizo ili kuendelea kusogeza huduma za uhakika za kiafya kwa wananchi.

Amewahimiza wakazi mkoani Kigoma na Tanzania kwa ujumla kufika kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya wanapopata maradhi ili kupima na kufahamu sababu za kuugua badala ya kujielekeza kwenye tiba

Asili.

"Serikali na wadau wa maendeleo wamekuwa wakitumia mabilioni ya fedha kuwekeza kwenye sekta ya Afya, hivyo niwahamasishe nyote kuendelea kutumia na kunufaika na huduma za Afya kuendana na maelekezo ya wataalam wetu" amesema Dkt. Dugange.

Aidha Naibu waziri amezitaka taasisi zisizo za kiserikali zinazotoa huduma za kiafya kuajiri wataalam wenye sifa sambamba na kufanya kazi kwa kuzingatia miongozo ya utoaji wa Huduma za Afya inayotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Ukarabati wa Hospitali hiyo umetekelezwa kwa gharama ya Sh Bil.2.4, Fedha kutoka kwa wafadhili Taasisi za kidini Readycharity ya Austria, Alliance Mission pamoja na marafiki wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Magharibi ya Tanganyika Mkoani Kigoma kutoka nchini ujerumani

Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • RC ANDENGENYE AKABIDHI VITENGO VITENGO VYA LISHE MKOA NA WILAYA UVINZA

    May 09, 2025
  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa