Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Jen.(mst.) Emmanuel Maganga (mwenye shati la drafti) akivuka mto Malagarasi kwaajili ya Ziara ya Kikazi katika Vijiji vya mwambao wa kusini mwa Ziwa Tanganyika Mkoani humo. Pembeni yake ni Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Paul Chaote.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa