• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko / Mrejesho |
KIGOMA   REGION
KIGOMA   REGION

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kigoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Seksheni
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Seksheni ya Elimu
      • Seksheni ya Afya
      • Seksheni ya Miundombinu
      • Seksheni ya Serikali za Mitaa
      • Seksheni ya Mipango na Uratibu
      • Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha Fedha
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwami
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Wilaya ya Kibondo
      • Halmashauri ya Kibondo
    • Wilaya ya Kigoma
      • Halmashauri ya Kigoma
      • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Wilaya ya Kakonko
      • Halmashauri ya Kakonko
    • Wilaya ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu
      • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Wilaya ya Uvinza
      • Halmashauri ya Uvinza
    • Wilaya ya Buhigwe
      • Halmashauri ya Buhigwe
  • Halmashauri
    • Manispaa ya Kigoma Ujiji
    • Halmashauri ya Buhigwe
    • Halmashauri ya Kasulu
    • Halmashauri ya Kasulu Mji
    • Halmashauri ya Kibondo
    • Halmashauri ya Uvinza
    • Halmashauri ya Kakonko
    • Halmashauri ya Kigoma
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Kigoma Special Economic Zone
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mikakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Picha

Dkt. Mpango awaaasa wananchi kulinda miundombinu ya Mawasiliano

Posted on: December 14th, 2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amewasihi watanzania kutumia vema mawasiliano katika kujiletea maendeleo ikiwa pamoja na kupata maarifa mapya ya kilimo, ufugaji pamoja na biashara.


Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizindua huduma ya mawasiliano katika kata ya Kajana Kijiji cha Kasumo wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, huduma iliofikishwa na shirika la mawasiliano nchini TTCL kwa kwa kushirikiana na Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF).


Amesema serikali inaendelea kuboresha huduma za mawasiliano hasa maeneo ya mipakani ili kuharakisha maendeleo ya wananchi pamoja kuongeza ulinzi na usalama katika maeneo hayo. Makamu wa Rais amesema uwepo wa huduma za intaneti hasa katika maeneo ya vijijini ni kichocheo kikubwa cha kuboresha huduma za kijamii pamoja na kufungua fursa za kiuchumi na kijamii katika taifa.


Amewasihi wananchi wa Vijijini vilivyonufaika na mawasiliano hayo kutumia katika kujitengenezea ajira ikiwemo kuanzisha biashara bunifu zinazotokana na uwepo wa mawasiliano.


Aidha Makamu wa Rais amewataka wananchi wa Kasumo kutumia mawasiliano hayo kutoa taarifa muhimu zikiwemo za wahamiaji haramu, uhalifu pamoja na ajali za kimiundombinu kama ya umeme ili kusaidia serikali kuchukua hatua za haraka katika kukabiliana na changamoto hizo.


Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amewataka wananchi wa maeneo hayo kulinda miundombinu ya mawasiliano iliowekwa kwani kuhujumu miundombinu hiyo ni kujirudihsha nyuma kimaendeleo. Amesema serikali inatumia gharama kubwa katika kuwafikishia wananchi mawasiliano hasa maeneo ya vijijini hivyo jukumu la ulinzi wa miundombinu hiyo ni la kila mwananchi.


Kwa upande wake Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknlojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji amesema serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kukabiliana na wote wanaotumia vibaya mawasiliano ikiwemo kufungia jumla ya laini za simu 64928 pamoja na kufungia namba za utambulisho 50703 ambazo zilizuiliwa kusajili kutokana na kutumika kusajili namba zilizoshiriki katika uhalifu.


Waziri Dkt Kijaji amesema wizara itaendelea kulisimamia shirika la mawasiliano kwa ukaribu ili liweze kujiendesha kwa faida  pamoja na kuongeza wateja wa ndani na nje ya nchi , kuongeza uwajibikaji katika kutoa huduma pamoja kuongeza mapato ya shirika na serikali kwa ujumla.


  1. Awali Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Nchini Waziri  Kindamba amesema TTCL imetatua changamoto kubwa iliowakabili wananchi wa Kasumo kwa muda mrefu ya kushindwa kutumia huduma za kifedha pamoja na Intaneti katika simu zao za mkononi huku Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Bi. Justina Mashiba amesema miradi ya mawasiliano inaendelea katika kata 1068 nchi nzima ili kuhakikisha maeneo ya vijijini na yale ya pembezoni mwa nchi yanapata mawasiliano.

Matangazo

  • MAZOEZI KWA AFYA YAKO March 23, 2017
  • UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 September 12, 2024
  • UJIO WA MADAKTARI BINGWA MKOANI KIGOMA November 12, 2018
  • Fomu ya Usajili wa Maonesho TBS Kigoma May 01, 2022
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DCP NARCIS MISSAMA AFANYA ZIARA MKOANI KIGOMA

    May 07, 2025
  • JAJI ASINA AKAGUA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI-KIGOMA

    May 03, 2025
  • VYAMA VYA WAFANYAKAZI VISIGEUKE MAHAKAMA ZA KUWAHUKUMU WATUMISHI-RC ANDENGENYE

    May 01, 2025
  • PICHA; MAENDELEO YA UJENZI WA UKUMBI WA DKT. PHILIP MPANGO KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA KIGOMA

    April 30, 2025
  • Ona vyote

Video

RC ahimiza wananchi anuani za Makazi
Video nyingine

Tovuti zinazo fanana

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA BUHIGWE
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU
  • HALMASHAURI YA MJI KASULU
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA KIGOMA
  • HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIGOMA UJIJI
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

Tovuti zinazo husiana

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI PORTAL
  • IKULU
  • OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    MKOA WA KIGOMA

    Anuani: S.L.P 125

    Simu: 0282802330

    Simu ya kiganjani: +255766853404

    Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://bachelorthesiswritingservice.com

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa