MKUU WA MKOA WA KIGOMA KAMISHNA JENERALI MSTAAFU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MHE. THOBIAS ANDENGENYE (KUSHOTO) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA MILKI WA JESHI LA POLISI NCHINI DCP NARCIS MISSAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI JIJINI DODOMA. DCP MISSAMA AMEFANYA ZIARA MKOANI HAPA KWA LENGO LA KUKAGUA HALI YA UMILIKI WA ARDHI NA MALI NYINGINEZO ZA JESHI HILO MKOANI KIGOMA.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa