Balozi Mella amesema Kigoma ni lango kuu la kibiashara kwa nchi inazopakana nazo. Ametaja kuwa Mkoa wa Kigoma unapaswa sasa kuweka mikakati na dhamira ya kuwa na uchumi wa Viwanda katika Mkoa kama ulivyo mwelekeo wa Serikali ya awamu ya tano utarahisisha upatikanaji wa bidhaa nchini na kuuzwa nchi jirani na Mkoa wetu hususan Kongo.
Aidha amekutana na wafanyabiashara na kuzuguma nao kuhusu umuhimu wao katika kutumia fursa zilizopo Nchini Kongo DRC ikiwa pamoja na kuuza bidhaa mbalimbalib kutoka Tanzania.
Mhe. Balozinaliambatana na Mawaziri wa Usafirishaji na Biashar, mwenyekiti wa Wafanyabiashara nchini Kongo DRC.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa