Thursday 31st, October 2024
@
MKUU WA MKOA WA KIGOMA THOBIAS ANDENGENYE AKISIKILIZA NA KUTAFAKARI JAMBO WAKATI MKUFUNZI WA SENSA NGAZI YA MKOA AKIKUSANYA TAARIFA ZA MFANO KWA AJILI YA ZOEZI LA SENSA KUTOKA KWA MWANANCHI. LENGO LA KUFANYANYIKA KWA MAZOEZI HAYO YA VITENDO NI KUBAINI UELEWA WA MAFUNZO YALIYOTOLEWA KWA WAKUFUNZI NA CHANGAMOTO ZA VITENDEA KAZI.
MKUU WA MKOA AKISISITIZA JAMBO MBELE YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA MKOA.
MKUU WA MKOA WAKIGOMA THOBIAS ANDENGENYE AKIPOKEA MAELEZO KUTOKA KWA WASIMAMIZI WA MAFUNZO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA MKOA, ALIPOTEMBELEA KATA YA KIDAHWE WILAYA YA KIGOMA VIJIJINI KUKAGUA MAENDELEO YA MAFUNZO KWA VITENDO YANAYOFANYWA NA WAKUFUNZI WA SENSA NGAZI YA MKOA.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa