Thursday 10th, October 2024
@
MKUU WA MKOA WA KIGOMA THOBIAS ANDENGENYE AKISIKILIZA NA KUTAFAKARI JAMBO WAKATI MKUFUNZI WA SENSA NGAZI YA MKOA AKIKUSANYA TAARIFA ZA MFANO KWA AJILI YA ZOEZI LA SENSA KUTOKA KWA MWANANCHI. LENGO LA KUFANYA MAZOEZI YA VITENDO ILI KUBAINI UELEWA WA MAFUNZO YALIYOTOLEWA KWA WAKUFUNZI.
MKUU WA MKOA AKISISITIZA JAMBO MBELE YA WAKUFUNZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI NGAZI YA MKOA.
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa