Mkutano wa Stanley na Dr. Livingstone Ujiji, 1971. |
Watumwa wakiwa na pembe za ndovu eneo la Ujiji. |
Boma lililojengwa na Mjerumani kwa sasa ni Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.
|
Nyumba aliyokuwa akifikia Mwl. Julius K. Nyerere - Ujiji |
Mashujaa wa Wilaya ya Kigoma. Kuanzia kushoto (walioketi) ni Ndugu maalim Hussein Kitumba, Abdul Muhsin Kitumba (Mwenyekiti) na Abeid Alli. Waliosimama ni ndugu Salehe Makula, Bibi Shumbana Hanzuruni, Shabani Salum (Katibu) na Msafiri Mwanda. |
Hawa ndio mashujaa wa kwanza wa TANU wa wilaya ya Kibondo. Kuanzia kushoto ni Ndugu TitoHawa ndio mashujaa wa kwanza wa TANU wa wilaya ya Kibondo. Kuanzia kushoto ni Ndugu Tito Kagulumujuli, Gabriel Mbogoye, Juma Balakabtse, James Mavujiro, Zakuwani Athumani, Kabili Kalungwana, Stanford Salundali na Ndugu Lemba.
, Gabriel Mbogoye, Juma Balakabtse, James Mavujiro, Zakuwani Athumani, Kabili Kalungwana, Stanford Salundali na Ndugu Lemba.
|
Wanaoonekana hapa ni mashujaa wa Wilaya ya Kasulu. Kuanzia kushoto (walioketi) ni Ibrahim Ndeyigeze, Nassoro Hassani na Alinoti Kondo; na waliosimama ni ndugu Rashid Mbugita (Katibu 1955), Hussein Feruzi na Mrisho Ndakereba. Kwa nyuma inaonekana Ofisi ya kwanza ya TANU mjini Kasulu. |
|
MKOA WA KIGOMA
Anuani: S.L.P 125
Simu: 0282802330
Simu ya kiganjani: +255766853404
Barua Pepe: ras@kigoma.go.tz / ras.kigoma@tamisemi.go.tz / info@kigoma.go.tz
Hakimiliki©2018. Mkoa wa Kigoma. Haki zote zimehifadhiwa